John 6:24-25

24Mara wale watu wakatambua kwamba Yesu hakuwepo hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Yesu.

Yesu Ni Mkate Wa Uzima

25 aWalipomkuta Yesu ngʼambo ya bahari wakamuuliza, “Rabi, umefika lini huku?”

Copyright information for SwhNEN